Enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli ilikuwa ngumu kugundua urafiki wa Mbowe na CCM lakini sasa Mbowe kazeeka kila kitu kinakuwa wazi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wewe angalia hata Waandishi wa Habari anaofanya nao mahojiano 80% ni Makada wa CCM akina Kijakazi wa UWT Lindi

Mbowe ana nguvu za kusimamia jukwaani na kuongea kitu ambacho hata mlevi anafanya ila Mbowe hana tena nguvu ya kujenga Hoja zenye ushawishi wa kisiasa kama alivyo Mh OMO wa ACT Kwa mfano

Mbowe wa Leo hawezi kushindana Kwa Hoja hata na Makalla achilia mbali akina Jokate na UVCCM wengine

Kila Zama na Kitabu Chake

Ahsanteni sana 🐼
 
Knowing mbowe anapenda sana meza ya mazungumzo na blackmailing, and kesi yake ya ugaidi wakuu walitaka wamalizane naye once and for all. Maana ukimleta mezani lazima atakutoa hela na atakutoa hela nyingi sana, Kwasababu anajua vingi pia.

Simlaumu, aina ya Siasa ambayo CCM imeitengenezea msingi wake. (Msiniteke)
 
Nilishangaa aliposema alifuatwa na maaskofu Watatu na Mufti gerezani

Amesahau hii Nchi inafuata Utawala wa sheria
 
Ukijifanya mwanaharakati kweli hakikisha pipe ya kuelekea tumboni imechomolewa, which is unlikely to happen.
sio wote wanaoweza kutekwa, kuna siku watekaji wataumizwa vibaya na hata kuangamizwa
 
Wewe angalia hata Waandishi wa Habari anaofanya nao mahojiano 80% ni Makada wa CCM akina Kijakazi wa UWT Lindi

Mbowe ana nguvu za kusimamia jukwaani na kuongea kitu ambacho hata mlevi anafanya ila Mbowe hana tena nguvu ya kujenga Hoja zenye ushawishi wa kisiasa kama alivyo Mh OMO wa ACT Kwa mfano

Mbowe wa Leo hawezi kushindana Kwa Hoja hata na Makalla achilia mbali akina Jokate na UVCCM wengine

Kila Zama na Kitabu Chake

Ahsanteni sana 🐼
Kweli Mbowe amezeeka ukimuuliza hata anasimamia nini hajui, unataka miaka 5 ufanye nini hata hajui
 
Back
Top Bottom