johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilishangaa aliposema alifuatwa na maaskofu Watatu na Mufti gerezaniKnowing mbowe anapenda sana meza ya mazungumzo na blackmailing, and kesi yake ya ugaidi wakuu walitaka wamalizane naye once and for all. Maana ukimleta mezani lazima atakutoa hela na atakutoa hela nyingi sana, Kwasababu anajua vingi pia.
Simlaumu, aina ya Siasa ambayo CCM imeitengenezea msingi wake. (Msiniteke)
Au sio?π...Kila Zama na Kitabu Chake...
sio wote wanaoweza kutekwa, kuna siku watekaji wataumizwa vibaya na hata kuangamizwaUkijifanya mwanaharakati kweli hakikisha pipe ya kuelekea tumboni imechomolewa, which is unlikely to happen.
Unadhani Mbowe akibwagwa na Tundu Lisu atakayeumia ni nani Kati ya CCM na Chadema? ππMbowe na Ccm wanajuana sana
Kweli Mbowe amezeeka ukimuuliza hata anasimamia nini hajui, unataka miaka 5 ufanye nini hata hajuiWewe angalia hata Waandishi wa Habari anaofanya nao mahojiano 80% ni Makada wa CCM akina Kijakazi wa UWT Lindi
Mbowe ana nguvu za kusimamia jukwaani na kuongea kitu ambacho hata mlevi anafanya ila Mbowe hana tena nguvu ya kujenga Hoja zenye ushawishi wa kisiasa kama alivyo Mh OMO wa ACT Kwa mfano
Mbowe wa Leo hawezi kushindana Kwa Hoja hata na Makalla achilia mbali akina Jokate na UVCCM wengine
Kila Zama na Kitabu Chake
Ahsanteni sana πΌ
CCM wataumiaUnadhani Mbowe akibwagwa na Tundu Lisu atakayeumia ni nani Kati ya CCM na Chadema? ππ
Alidhani anajitetea kumbe anaharibuNilishangaa aliposema alifuatwa na maaskofu Watatu na Mufti gerezani
Amesahau hii Nchi inafuata Utawala wa sheria
Kama vile Mangi na Pesa ???!Mbowe na Ccm wanajuana sana
Sultan Said Ibn Said MboweMbowe hana tena nguvu ya kujenga Hoja zenye ushawishi wa kisiasa
Sultan Said Ibn Said MboweNilishangaa aliposema alifuatwa na maaskofu Watatu na Mufti gerezani
Amesahau hii Nchi inafuata Utawala wa sheria
Sultan au nani?CCM wataumia
Mbowe amechokwa snSultan au nani?