chadema siku zote imekuwa tawi la ccm, ni kama side chick ya baadhi ya vigogo wa ccm, kwamba wakizinguliwa na ccm wanakimbilia chadema alifanya lowasa, hata nasikia kama raisi kikwete asingepitishwa ilikuwa aende chadema, hivyo itβs in their interest ( vigogo wa ccm) pia kuona chadema ikiwa strong ili kama kikinuka ccm kwa upande wao itakuwa ni rahisi kujiunga chadema against ccm, hivyo kwa kifupi chadema na ccm wanajuana na wametoka mbali, na ndio maana hata ukiangalia chadema hawana ishu na ccm kama chama bali wana ishu na kiongozi au mtu ambaye ni raisi wa nchi na kiongozi wa ccm, wanamchukia Magufuli lkn wanampenda Kikwete, walimchukia raisi Mkapa wakampenda Mwinyi lkn wote hao ni ccm how come mmoja awe hero halafu mwingine awe villain wakati hakuna hata mmoja kati ya hao heroes wao aliyetimiza hata takwa moja kuu la chadema kama katiba mpya au hata tu tume huru ya uchaguzi ?