Picha na maelezo yafuatayo yako kwenye Michuzi Blog katika lugha ya Kiswahili
Hata hivyo Google inaweza kukuletea maelezo hayo hayo kwa lugha mbali mbali kama ifuatavyo.
Kiingereza
Kifaransa
Kigiriki
Kichina
Transalation hizo zinachekesha sana siyo tu kwa vile zinapotosha maana yote ya habari yenyewe, lakini vile vile jinsi zinavyoshindwa kufahamu mji wa Songea, uwanja wa Jangwani na meneno "eliyempiga konozzzzz"