Enzi za Mwalimuuu!!

Enzi za Mwalimuuu!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Akitoka huko alikolala... nadhani hiki ndo atakachofanya kwa hawa wanharamu!!
 
Alisema zamani wala rushwa walikuwa wanakwenda jela miaka isiyopungua miwili wanapigwa viboko ishirini na vinne kumi na mbili wakati anaingia na kumi na mbili wakati anatoka akamwonyeshe mkewe lol!! hii ndio inatakiwa sasa haya majambawazi ya ccm yatashika adabu ni maharamia hawana mfano
 
Back
Top Bottom