Alisema zamani wala rushwa walikuwa wanakwenda jela miaka isiyopungua miwili wanapigwa viboko ishirini na vinne kumi na mbili wakati anaingia na kumi na mbili wakati anatoka akamwonyeshe mkewe lol!! hii ndio inatakiwa sasa haya majambawazi ya ccm yatashika adabu ni maharamia hawana mfano