Enzi za Nyerere Mtu akipotea tulikuwa tunaenda kuripoti Kwa Mkuu wa Wilaya ambaye atatuma Vyombo vyake kumtafuta!

Enzi za Nyerere Mtu akipotea tulikuwa tunaenda kuripoti Kwa Mkuu wa Wilaya ambaye atatuma Vyombo vyake kumtafuta!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna baadhi ya mambo yalikuwa mazuri sana wakati wa Mwalimu Nyerere au tuseme enzi za Chama kimoja

Mkuu wa Wilaya alikuwa ni Mlezi siyo Mtawala hivyo alihusika kuratibu Ustawi wa Jamii katika Wilaya yake na ikionekana mtu Mmoja hajulikani alipo taarifa ilipelekwa kwake

Ahsanteni 🐼
 
Nyerere ndo chanzo cha matatizo ya nchi hi........achana na huyu jamaa kabisa.
 
Sasa hivi kuna sheria inayokataza kuripoti kwa Mkuu wa Wilaya?
 
FB_IMG_1654103401853.jpg
 
Mkuu karipoti Kwa afisa mtendaji wa kata hapo kijijini
 
Mchongameno nchi ilimshinda akaleta umasikini wa kupindukia akaacha watu wanavaa magunia hawana nguo
 
Sasa hivi wanaotakiwa kupelekewa taarifa na kuzifanyia kazi ndiowamekuwa wapoteza watu.
 
Wakuu wa Wilaya na Mikoa limeuiwa chaka la kufutia jasho wagombea wa CCM baada ya kukosa uchaguzi.

Hapa kusogea kama Taifa tusahau.
 
Back
Top Bottom