johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kibajaji asikilizwe, mficha ugonjwaa...Nyerere hakupenda Kabisa tabia za kukurupuka kama zilizoonyeshwa na Kibajaj mkutanoni
Uzuri wa CCM ya sasa hainaga mambo mengi tofauti na kile Chama Cha mitandaoni
Mlale Unono π
CCM ya sasa ni ya mazuzu mnapelekeswa na mshangazi tu.Nyerere hakupenda Kabisa tabia za kukurupuka kama zilizoonyeshwa na Kibajaj mkutanoni
Uzuri wa CCM ya sasa hainaga mambo mengi tofauti na kile Chama Cha mitandaoni
Mlale Unono π