Pale bondeni maganzo unaiona kwa juu wakulima wa mahindi wa pale walipata shida sana na vijana wa bush penye vile vinjia ilikuwa mtu kama unapita kumbe unavuna mahindi mpaka mwisho wa shamba umejaza kimfukoUmenikumbusha mbali sana, kuna siku tulikuwa tunatoka Maganzo kuelekea shybush, wakati huo ilikuwa mwishoni mwa masika.
Tuliona dibwi dogo kuangalia vizuri kuna samaki wa kutosha aina ya kambale, aisee! Siku hiyo ilikuwa sherehe kubwa kwetu, unajua tena maisha ya boarding.
FFU unawajua au unawasikia ? ilikuwa kama vita ileNakumbuka miaka ile ya 80's mlivyogoma mkambilia kwenye mashamba ya miwa! Mlitafuna miwa kama simbirisi!
Kweli kabisa mkuu ajali ilitokea Kolandoto njia pandaMwaka 2011 waligoma pia,shule akabidi ifungwe kwa muda lakini bahati mbaya wakati wasafari ya kuelekea makwao kunaajali ilitokea ambapo wanafunzi kadhaa walifariki akiwemo mwalimu mkuu wa SONGWA secondary.
Hahahaha...!Pale bondeni maganzo unaiona kwa juu wakulima wa mahindi wa pale walipata shida sana na vijana wa bush penye vile vinjia ilikuwa mtu kama unapita kumbe unavuna mahindi mpaka mwisho wa shamba umejaza kimfuko
Wacha ndugu yangu ukikumbuka matukio uliofanya unabaki kuona aibu mwenyewe .Hahahaha...!
Kila jambo na wakati wake sahihi. Kwa wakati ule ulijiona upo sahihi kufanya hivyo lakini kwa sasa utaona aibu.Wacha ndugu yangu ukikumbuka matukio uliofanya unabaki kuona aibu mwenyewe .
Yapo mengi ndugu yangu kuna waqt ukifikiria ndio ujanja tena wa kipindi hicho .Kila jambo na wakati wake sahihi. Kwa wakati ule ulijiona upo sahihi kufanya hivyo lakini kwa sasa utaona aibu.
Umenikumbusha mbali sana.Nilikuwa miongoni mwa wahanga, tulifukuzwa shule na kulazimika kukaa miezi3 nyumbaniMwaka 2011 waligoma pia,shule akabidi ifungwe kwa muda lakini bahati mbaya wakati wasafari ya kuelekea makwao kunaajali ilitokea ambapo wanafunzi kadhaa walifariki akiwemo mwalimu mkuu wa SONGWA secondary.