Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Ndugu tunakwenda na wakati. Huu sio wakati wa cinderella. Kama unapenda hizo fasheni za 47 year kamshonee kipenzi chako ili ufurahie. lol!
mnh unataka tuvae zembwela...inahusuuuu...:twitch:
Roseys Again!!wait n u wl c wat nxt!!!!!!!!!!!
magauni mazuri lakn mweeeeeeeeeeee bt hayana uhuru km ukivaa vjapanshupa!!!!!!!!!!!!:twitch:
:A S tongue:atleast!Wavae baibui basi
mnh unataka tuvae zembwela...inahusuuuu...:twitch:
...Mambo ya vijana wa University Corner na wimbo wao '' Tshirt na Jeans'' mdada kavaa gauni kutoka nje ya geti kaona gauti sio dili karudi ndani kubadirisha..............Ni kweli kuwa magauni yapo tena ya kisasa pamoja na sketi ila utakuta hata haya ya kisasa ni wachache wanavaa. Wengi ni jinz na vitop hasa vyuoni hadi unajiuliza ni upepo gani huu?
...Nimependa avatar yako laiti ingekuwa ni wewe ningekuhamasisha kuvaa jeans muda wote lazima unakuwa moto...:A S tongue::A S tongue:Haiusu mwenzangu ila magauni ( sweeping dress) yapo na yanavaliwa tu! lbda huko mtaani kwako ndo hawavai ila ukivaa suruali au pensi unakuwa free zaidi ila me sina hata gauni kabatini kwangu ila sketi ipo