Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
-
- #21
kingi i am ur girl ............yaani ni skirt tu na gauni mara moja moja......na gagulo pia nna vaa. and i look super cute and presentable! lol
suruali huvaa once in a blue moon tena ninapolazimika kwenda site kazini.
too sex for my pants 😛😛
Nafikiri skirts Zina command heshima zaidi makazini kuliko suruali ambazo wengi zinawaonyesha ma figure Yao ambayo waafrika wamejaaliwa zaidi! Hasa ikiwa mazingira ya kazi ni wanaume wengi zaidi AU una deal na vijana wa kiume.
Unaweza ukavaa suruali ukafikiriwa 'mtoto wa shule buree!
Wanaogopa kubakwa kiurahisi ,naamini hii ndio sababu kuu ya msingi na haina mbadala ,ila inayobaki ni uvuvuzela !!😛ound:
Ni kweli kuwa magauni yapo tena ya kisasa pamoja na sketi ila utakuta hata haya ya kisasa ni wachache wanavaa. Wengi ni jinz na vitop hasa vyuoni hadi unajiuliza ni upepo gani huu?
duuuuu!!!?? vin'gamzi tena!!? wamewakosea nn hawa viumbe kila siku mnawapaisha na misamiati mipya??ni sawa na kusema unaogopa unene kisha unashindia viepe na mibiskuti. Wakivaa magauni tutawatazana kama wanawake ila wakivaa suruali tunawatazama kama viburudisho. Tena nasikia wanaitwa ving'amuzi siku hizi. Sifa ya king'amuzi ni kuonyesha picha bila chenga
Ukiwa umevaa suruali unakuwa more comfortable, nakumbuka mchakamchaka wa mlimani kukimbilia lecture rooms, kama umevaa sketi tabu tupu, lakini ukipiga jinsi yako ta t-shirt imetoka kitabu mtindo mmoja. skerti na magauni zinavaliwa kutokana na mazingira pia, siyo kweli kwamba hatuvai kabisa Kingi. But you have to accept changes otherwise itakupa shida.
duuuuu!!!?? vin'gamzi tena!!? wamewakosea nn hawa viumbe kila siku mnawapaisha na misamiati mipya??
kazi zangu ni za site mara nyingi, so kwa kuvaa suruali nakuwa comfortable zaidi,
Sketi ninayo moja tu nayo nilipewa zawadi
mama Brian wazungu wanasema it is all in your mind.
Tupo tuliosoma vyuo vikuu bila ya kuvaa jeans na kitabu kilikuwa mtindo mmoja vile vile. Siamini Kama kivazi kinamzuwia mtu kusoma
haya mavazi yako huku town tuu, ukienda vijijini pachanga zipo kama kawa.