Enzi za utoto uliaminishwa jambo gani la uongo?

kataza

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
28
Reaction score
58
Habarini wapendwa,

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
 
Kwamba watoto wanauzwa hospitali

Na sio kwamba Wanazaliwa πŸ™Œ
 
Habarini wapendwa,

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
Mtoto ananunuliwa
 
Idd Amin Dada ni joka
πŸ˜› πŸ˜‚πŸ˜›
 
Habarini wapendwa,

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…