Enzi za utoto

Enzi za utoto

Frank ndenuka

Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
35
Reaction score
16
zamani nilipokuwa mdogo hii ndio ilikuwa siraha yangu, kwa maana umbo langu lilikuwa dogo, so sikuweza kupigana. Ukinitibua tu nakupa maneno mpaka ukimbie (USICHUKIE) Amey Gat una bichwa kubwa mpaka ukitembea unafanya psss...psss ili wakupishe, na wewe Elza Sambu bibi yako mwongo mpaka alipokuwa watu hawakuamini. Emmanueli mwantwili mweusi mpaka unaacha finger prints kwenye mkaa. Jacqueline Massano meno ya njano mpaka kwenye mkutano wa YANGA huitaji kadi. Jasmeen Johnson bahiri mpaka unapumua na pua moja, Kim Edwards una chunusi mpaka ukipiga picha inakuwa kama msasa. Marymonica Nganda kwenu mpo wengi mpaka ndugu yako wa mwisho anaitwa YATOSHA. Maurouty Rajab kwenu masikini mpaka dadaako badala ya kutumia Always, ye anatumia sometimes lo.. Shadrack mbahiri mpaka ukipigiwa sim unaangalia salio. Ritha Nganda mweusi mpaka ukiingia kwenye gali, vioo vinakuwa Tinted hahahaha [HASHTAG]#MNANIWEZA[/HASHTAG]?
 
Back
Top Bottom