Enzi za. wazee wenzangu wa mwaka 1990

Enzi za. wazee wenzangu wa mwaka 1990

nejje

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
12
Reaction score
8
"Mzee wa watu katoa kiasi cha mboga kulingana na uwezo wake,
Kashangaa? Kuona anakula vitu vya bei ya juu,
Kuliko gharama alizotoa" ..... haka kanyimbo alikaimba nani na kanaitwa jee?
 
Kisa cha mpemba - Jina la wimbo.

Twanga Pepeta - Band

1998-1999

Ila mimi sijawa mzee bado.

Ahsante!
 
Back
Top Bottom