nejje Member Joined Jul 19, 2016 Posts 12 Reaction score 8 Sep 19, 2016 #1 "Mzee wa watu katoa kiasi cha mboga kulingana na uwezo wake, Kashangaa? Kuona anakula vitu vya bei ya juu, Kuliko gharama alizotoa" ..... haka kanyimbo alikaimba nani na kanaitwa jee?
"Mzee wa watu katoa kiasi cha mboga kulingana na uwezo wake, Kashangaa? Kuona anakula vitu vya bei ya juu, Kuliko gharama alizotoa" ..... haka kanyimbo alikaimba nani na kanaitwa jee?
Kitang'wa1 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2014 Posts 460 Reaction score 285 Sep 20, 2016 #2 Kisa cha mpemba - Jina la wimbo. Twanga Pepeta - Band 1998-1999 Ila mimi sijawa mzee bado. Ahsante!