Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Weekend ndio hiyo inaanza, kila mtu alikuwa na enzi zake,
Kuna ambao enzi zao zimepita kwa sababu ya umri na wengine ni kwa sababu ya majukumu,
Kuwa mzee hakukufanyi usikumbuke Enzi zako,
Kuna wazee, watu wazima tunakutana nao viwanja mpaka leo, wengine wakikumbushia Enzi zao na wengine wakiendeleza enzi,
Je Enzi zako weekend kama hii ulikuwa unawaza kwenda kiwanja gani Kabla ya kubanwa na majukumu au umri kukutupa mkono?
Tukumbuke Enzi.
Cc Zero IQ