Enzi zao zimekwisha ila walitamba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Walikuwepo watu katika kadha na nyanja mbalimbali wakavuma sana ila leo hawasikiki tena unamkumbuka nani? Mimi namkumbuka dudubaya
 
mkoloni,mandojo na domo kaya,feruz,p funk,kala pina,nak to nak,mr nice,fanan,daz baba,kshe,k sar,manger,bob jonior,mr ebbo,sister p,dataz,2 pac,b.i.g.da husler.bi kidude, aisha madinda .muumin mwijuma,bob rudala.banza stone.diof.kalunde jaz na t.i.d
 
sasa ww mbona umewataja wote hadi wangu
 
sasa ww mbona umewataja wote hadi wangu

hahaha mkuu zuia sayayi.mbona wamejaa sana tu kama kina bad bakule,crazy gk,inspector harun.mabaga fresh.nik mbish.k r jibaba cd miasaba sabini,nuraw.vick kamata,masma n.k
 
mkoloni,mandojo na domo kaya,feruz,p funk,kala pina,nak to nak,mr nice,fanan,daz baba,kshe,k sar,manger,bob jonior,mr ebbo,sister p,dataz,2 pac,b.i.g.da husler.bi kidude, aisha madinda .muumin mwijuma,bob rudala.banza stone.diof.kalunde jaz na t.i.d

Acha uongo!bob junior,pfunk bado wapo.....mkoloni dereva na pia he can sing,in short yupo
 
Yule dada aliimbaga na Banana Zoro (Pressure).
Bushoke pia
 
Hata ww utaisha na watakudis likewise make wanaokuzunguka ndo wabaya wako pia
 
H.Mbizo,Kali-P,Luteni karama,kaka man,john walker na wengineo.
 
But Hasfa Kazinja bd yuko live analia ft na wasanii walioko juu kwasasa pia natafuta album yake ile iliyohit nimejaribu you tube nimeikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…