Enzi zao zimekwisha ila walitamba

kuna wale UNIVERSITY CORNER WAZEE WA TSHIRT $ JEANS.
 
Nani kati yenu anawakumbuka Waswahili na kibao chao cha Pengo? Mwenye link ambayo naweza kuupata huo wimbo naomba aniwekee hapa.
 
Jf rahaa sana!niliwak sijui kumbe kuna wasanii wanaolazimisha kuwepo,duu!hii nayo kali,lakini ukiangalia kama kweli vile.hasa kwa huyo sijui dada sijui bibi sijui hata tumwiteje!eti 1979?he he he he heeee!!
 
ocg-ni kazeze
wachumba 30.....rip J mjema
 
Nani kati yenu anawakumbuka Waswahili na kibao chao cha Pengo? Mwenye link ambayo naweza kuupata huo wimbo naomba aniwekee hapa.
Wazo la Leo,
Yupi bora (kati ya Ndugu na Rafiki)
 
Kanumba,langa,mangwair,wasira aka tyson,nape,na mpumbavu pinda
 
Zay b sasa yuko gado ..... mashairi yamejaa kisadooo!! Maskini kumbe mashairi yake yalikuwa hayajai hata kwenye ndoo!
Rah P... enzi zake alimpora Ray C bwana .. magazeti ya udaku yaliuza sana kipindi kile,
Matumla-snake boy aliwachakaza vilivyo wapinzani wale kwenye ulingo wa ngumi
 
Ngoni tribe wazee wa manungayembe "wanawake wazuri wazuri wanaolewa,yamebaki manungayembe yanaangaika"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…