Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Peda zikiisha vinabaki vile vichuma vya ndani,tunaita "misongo",halafu kwenye mlima raia wanasimamia na miguuni wako peku...

Ila zamani watu walikua wamekomaa kama wanacheza mashuati
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Mkuu hata chid benz atazeeka mwijaku
Baba levo
Lemutuz
Hata wewe utazeeka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Sizan kama lugha ni Tatizo πŸ€“
🀚

Vijana wa 70s to 80s haweze kuzeeka kama vijana wa 2000 to 2023....... Different errors,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…