Enzi zetu sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema

Enzi zetu sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
479
Reaction score
670
Enzi zetu bana hasa sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema, badala yake movies zote tulikuwa tukizitazama video shows.

Mfano Mbeya Mjini Video show maarufu zilikuwa;

Nisso Video Show
Vijana Show,
Chawama Video show
Kimanda Video show,
Mponzi video show,
Jihanga Video show
Nassib Video show
Bad Zombie video show
Mwaikambo video show
Kizota Video Show
East video show

vipi mkoa wako kulikuwa na video show? tukumbushe hapa
 
Sisi mkoani kwetu tulikuwa tukijivunia maDJs
 
MOVIES mlikuwa mkiangalia kwa Ma-DJ
Jinsi MaDJs walivyo kuwa wakiviwekea vionjo kwa kutafsiri uongo mwingi yaani Films za kingereza zinatafsiriwa na DJ amabae hata darasa la saba hakumaliza.

Harafu mara nyingi madj walikuwa wakitembea wanaweka kambi hata siku moja au mbili wanatoka hivyo hakukuwa na sehemu maalumu Bali popote kambi.
 
Enzi zetu bana hasa sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema, badala yake movies zote tulikuwa tukizitazama video shows.

mfano Mbeya Mjini Video show maarufu zilikuwa;

Nisso Video Show
Vijana Show,
Chawama Video show
Kimanda Video show,
Mponzi video show,
Jihanga Video show
Nassib Video show
Bad Zombie video show
Mwaikambo video show
Kizota Video Show
East video show

vipi mkoa wako kulikuwa na video show? tukumbushe hapa
Mponzi nilikuwa nikitoka Iyunga secondary kuangalia mpira na channel 0 🙄🙄
 
Mponzi daa umenikumbusha mbali si pale mapelele ilemi😁😁😁😁
 
Jinsi MaDJs walivyo kuwa wakiviwekea vionjo kwa kutafsiri uongo mwingi yaani Films za kingereza zinatafsiriwa na DJ amabae hata darasa la saba hakumaliza.

Harafu mara nyingi madj walikuwa wakitembea wanaweka kambi hata siku moja au mbili wanatoka hivyo hakukuwa na sehemu maalumu Bali popote kambi.
Nimekupata Mkuu..Kuna Jamaa anaitwa Juma Khan chikongwe ni balaa kwa movie za kihindi, zamani kidogo walikuwepo akina Lufufu na Mkandala
 
Back
Top Bottom