Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
MOVIES mlikuwa mkiangalia kwa Ma-DJSisi mkoani kwetu tulikuwa tukijivunia maDJs
Jinsi MaDJs walivyo kuwa wakiviwekea vionjo kwa kutafsiri uongo mwingi yaani Films za kingereza zinatafsiriwa na DJ amabae hata darasa la saba hakumaliza.MOVIES mlikuwa mkiangalia kwa Ma-DJ
Mponzi nilikuwa nikitoka Iyunga secondary kuangalia mpira na channel 0 ๐๐Enzi zetu bana hasa sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema, badala yake movies zote tulikuwa tukizitazama video shows.
mfano Mbeya Mjini Video show maarufu zilikuwa;
Nisso Video Show
Vijana Show,
Chawama Video show
Kimanda Video show,
Mponzi video show,
Jihanga Video show
Nassib Video show
Bad Zombie video show
Mwaikambo video show
Kizota Video Show
East video show
vipi mkoa wako kulikuwa na video show? tukumbushe hapa
Hivi channel 0 bado ipo?Mponzi nilikuwa nikitoka Iyunga secondary kuangalia mpira na channel 0 [emoji849][emoji849]
Aiseeee channel O manyimbo mengi ya mamtoni video tumeanza kuziona kuleMponzi nilikuwa nikitoka Iyunga secondary kuangalia mpira na channel 0 ๐๐
Pale mapelele palikuwa na video show ya kina kulwa na dotto....mponzi ni makunguru mkuuMponzi daa umenikumbusha mbali si pale mapelele ilemi๐๐๐๐
Hii ni mkoa gani mkuu?Comando kipensi video show
Yap mkuu nimechaganya ni muda sana kipindi hicho๐๐๐pale mapelele palikuwa na video show ya kina kulwa na dotto....mponzi ni makunguru mkuu
NI zamani kwa kweli sijui bado papo pale manake ni muda mrefu sijatimba MbeyaYap mkuu nimechaganya ni muda sana kipindi hicho๐๐๐
Mim mwenyewe sijui kama papoNI zamani kwa kweli sijui bado papo pale manake ni muda mrefu sijatimba Mbeya
Mponzi tupo,saivi amejenga guest na bar pale.NI zamani kwa kweli sijui bado papo pale manake ni muda mrefu sijatimba Mbeya
Nimekupata Mkuu..Kuna Jamaa anaitwa Juma Khan chikongwe ni balaa kwa movie za kihindi, zamani kidogo walikuwepo akina Lufufu na MkandalaJinsi MaDJs walivyo kuwa wakiviwekea vionjo kwa kutafsiri uongo mwingi yaani Films za kingereza zinatafsiriwa na DJ amabae hata darasa la saba hakumaliza.
Harafu mara nyingi madj walikuwa wakitembea wanaweka kambi hata siku moja au mbili wanatoka hivyo hakukuwa na sehemu maalumu Bali popote kambi.
Ni mkongwe Sana huyu MponziMponzi tupo,saivi amejenga guest na bar pale.
Banda lake lipo,siku hizi ni mpira tu.