Kasugugu JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 214 Reaction score 98 Nov 1, 2013 #1 unakumbuka "MOTTO" wa shule yako au shule yoyote ambao ulikuvutia zaidi????? Weka hapa tukumbushane "enzi zetu" mimi sitasahau "education is an invissible asset" wa "Maendeleo primary school"
unakumbuka "MOTTO" wa shule yako au shule yoyote ambao ulikuvutia zaidi????? Weka hapa tukumbushane "enzi zetu" mimi sitasahau "education is an invissible asset" wa "Maendeleo primary school"
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,357 Nov 1, 2013 #2 Jifunze Uhudumie
Kasugugu JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 214 Reaction score 98 Nov 1, 2013 Thread starter #3 bornagain said: Jifunze Uhudumie Click to expand... IFM hiyo