Enzi zetu

Enzi zetu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
attachment.php
 
Zipi hizo? cc wenzio enzi zetu hata calculator ilikuwa hairuhusiwi kwenye mtihani, wewe sijui niwa enzi ipi?

Kweli mkuu, vijana wa siku hizi hata slide rule na vitabu vya logarithms hawavijui. Siku hizo kama hujui hujui tu.
 
zipi hizo? Cc wenzio enzi zetu hata calculator ilikuwa hairuhusiwi kwenye mtihani, wewe sijui niwa enzi ipi?

siku hizi zinatumika na mitoto inafeli kama kawaiada
 
kweli mkuu, vijana wa siku hizi hata slide rule na vitabu vya logarithms hawavijui. Siku hizo kama hujui hujui tu.

angalia hata paper za zamani form six wa leo hagusi.
 
wenzio enzi zetu hatukuwa na kompyuta

siku hizi ni maonyesho tu, kila mwanafunzi wa chuo na ka lapitopi ukimwuliza anafanyia nini, eti anatumia kuchat kwenye facebuki. Shida tupu.
 
Enzi zetu kalamu nzuri ilikuwa BIC na Daftari nzuri ni Sungura................. Computer hata Ofisini hazikuwepo. Ukiwa nje ya ofisi utajua tu huko kuna dada anachapa barua ni Typriter tu. Karatasi nzuri zilikuwa zinatoka Kiwanda cha karatasi Mufindi!!!!!! Viatu ni Chachacha!!!!
 
Back
Top Bottom