Enzi zetu kalamu nzuri ilikuwa BIC na Daftari nzuri ni Sungura................. Computer hata Ofisini hazikuwepo. Ukiwa nje ya ofisi utajua tu huko kuna dada anachapa barua ni Typriter tu. Karatasi nzuri zilikuwa zinatoka Kiwanda cha karatasi Mufindi!!!!!! Viatu ni Chachacha!!!!