Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenikumbusha mbali darasa la sitaNakumbuka enzi zile ilikuwa inatokea sakata la kura kupigwa kwa kila mwanafunzi kutaja nani anatoka na nani hapo shuleni, balaa linakuwa kwa wale watakaoangukiwa na kura hizo
La sita ulishaanza?mpaka leo hii si ni hatariumenikumbusha mbali darasa la sita
<br />La sita ulishaanza?mpaka leo hii si ni hatari
Hyo shule yenu mapenzi yalikua yanaruhusiwa kumbe?heri yenu
Pole kaka mi nilinusurika kwasababu mwalimu aliyekuwa anaongoza zoezi alikuwa mshkaji sana na nilikuwa nafanya vizuri sana somolake akapotezea. Ila nilipata kura zaidi ya nusu ya shule nzimaSenator,mwenzetu ulisoma mbinguni nini????????
Mimi nikiwa head prefect nilipewa adhabu ya kuchimba visiki,nilipigiwa kura nyingi eti natoka na head girl, HG mwenyewe alikuwa mkare asikwambie mtu,ila ilikuwa ngoma ya Head Master................................nilikuwa mbuzi wa kafara tu.
Ahahahaah!! Ukifukuzwa shule je kwa ishu hiyo?du sisi ilikuwa ujiko hata ukisingiziwa tu