Mi nilikuwa na videmu kibao skuli lakini hakuna hata siku moja niliyopigiwa kura, hao rafiki zangu wao walikuwa wanazipata sana maana walikuwa wanapenda sana kutangaza ishu zao.
Unajua mi kwanini nilipigiwa sana kura, kulikuwa na vidume vingi vilikuwa vinamtaka demu mwenyewe halafu na mi nikaja kugundua kulikuwa na vibinti kibao vilikuwa vinanizimia so ikawa wivu juu ya wivu