Enzi zile wazee wa Leo tulipokuwa vijana

Enzi zile wazee wa Leo tulipokuwa vijana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Patrick Mwasomola
WIMBO:
SIKUKUU YA WAKULIMA:
(SAFARI YA MBEYA)
BENDI ORCHESTRA MARQUIZ

MTINDO TELEMUKA CHEKECHAAA:
WAIMBAJI:
BWANA MKUBWA KING KIKI NA WENZAKE:
KWENYE MAGITAA:
YUPO NGUZA VICKING NA WENZAKE:
WIMBO HUU NI ZAWADI KWA MASHABIKI WOTE WA SIMBA POPOTE WALIPO NCHINI TANZANIA NA NJE YA TANZANIA:
UKIUTAKA TUPIA NAMBA YAKO HAPA YA WHATSAPP:
Safari yetu Mbeya tulistarehe sana
Wakazi wote Mbeya walitushangilia
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari yetu Mbeya tulifurahi sana
Wakazi wote Mbeya walitushangilia
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Kusema kweli ndugu hatuwezi kusahau
Kutushuhulikia kama watoto wenu
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari yetu Mbeya eeeh tulistarehe sana
Wakazi wote Mbeya oooh
Walitushangilia
Bababaaaaa
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Vitendo vyenu ndugu hatuwezi kusahau
Kutushuhulikia kama familie yenu
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari yetu Mbeya eeeh tulifurahi sana
Wakazi wote Mbeya oooh
Walitushangilia
Babaaaaaa
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari ya Mbeya
Sikukuu ya wakulima
Vijana wote Mbeya walitushangilia
Yoyoyooo
Wazee wote Mbeya walitushangilia
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari yetu Mbeya eeeeh tulistarehe sana
Wakazi wote Mbeya oooh
Walitushangilia
Bababaaaaaa
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Mbeya
Telemuka telemuka telemukaaa
Chekechaaa chekechaaaaa
Aaaah Nguzaaaa
Nakuona chokalaaaauuuuu
Telemuka telemukaaaaa telemukaaa
Chekeeee chekechaaaaa
Kusema kweli ndugu hatuwezi kusahau woooh woooh
Kutushuhulikia kama familie yenu
Wooooh
Safari yetu Mbeya eeeeh tulistarehe sana
Wakazi wote Mbeya oooh
Walitushangilia
Bababaaa
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari yetu Mbeya hatuwezi kusahau
Kutushuhulikia kama familie yenu
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Safari yetu Mbeya eeeh tulifurahi sana
Wakazi wote Mbeya ooooh
Walitushangilia
Oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sikukuu ya wakulima sabasaba oooh
Sabasaba oyeeeeeeh
 
Mlikua mnafaidi
Sana.
Enzi hizo mademu wanakushobokea kwa kazi zako za kiume, sio siku hizi mademu wanakushobokea kwa kuimba ukiwa umebana pua.
Enzi hizo kulikuwa Na ma pawa, power alikuwa anaweza kuvuta Scania 111 peke yake.
Pia kulikuwa Na wafanya mazingaombwe.
Hawa walikuwa wanaweza kuprint hela zikajaa begin Zima, lakini anakuja shule kukusanya kiingilio cha shilingi moja moja.
Mambo yote longtime bwana
 
800px-VanHool_Altano_ITB2014.jpg
 
Back
Top Bottom