Enzi zilee, fantastic uzi..!

Enzi zilee, fantastic uzi..!

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
"Mwalimu wetu hapendi keleleee,
Anapenda nyimbo na vigelegelee,
Akivaa kanga inamzuzua,
Akivaa kitenge mawingu na mvua"


"Naweza kuhesabu namba,12345678910,
Vidole vya mikono yangu jumla yake 10,
Huku 5 na kule 5 jumla yake 10..

Huwa nikikumbuka nilipotoka,enzi zile utotoni mpaka sasa mtu mzima kweli maisha ni safari.

Kuna wengi niliyokuwa nao utotoni,ila sasa nimewazika, huwa nikitafakari maisha naona kama nipo kwenye game, alafu anayenichezesha ndani ya hilo game simjui, mda mwingine ananichezesha vinzuri mda mwingine anakosea game.

Mda mwingine akichoka kucheza game, mimi ndo napata usingizi, mara ghafla analiwasha game na kuanza kunichezesha, mara analizima tena.

Nachojiuliza binadamu sisi tupo ndani ya game, mda mwingine linakuja game liloboreshwa vinzuri, basi ndo unakuta mtu kafa, ili kupisha new characters, au version mpya ya game..

Kwenye game kuna wahusika wakuu(mastering)pia wahusika wa kawaida.anaye nichezesha mimi mbona hayupo makini, game analipatia mda mwingine analikosea...

ONE TIME,..
ONE FOR THE ROAD
 
Back
Top Bottom