Enzi zile hata kama huna akili kabsaaa mkichwa, na hata kama skuli hukanyagi kabisa, lakini ikifika siku ya mashindo au ujio wa mgeni shuleni, Mwalimu Mkuu mwenyewe atakutafuta kila kona, na hapo ndipo umaarufu wa kuwa mpiga ngoma mkuu wa shule au mwimbaji ulipozidi hata wa wale waliokuwa wakiongoza kwa taaluma xlass!!!..
Mkuu umenikumbusha mbali sana. skuli kwetu wale watoro wote walikuwa wanakuja siku za graduation ya ly yaani last year au darasa la saba na siku za mechi baina ya shule na shule. hapo wataonekana wa muhimu kichizi na walimu watawasamehe duh