Hivi hawa
akina ringo tenga
na charles kimei.......
Hawapaswi kushitakiwa kwa lolote
kuhusu mchango wao kwenye ishu nzima
ya epa????
Sina kumbukumbu vizuri but nakumbuka
kwenye richmond au epa nilisikia majina
ya hawa watu yakitajwa,na sijasikia tena
wakizungumzwa....
Ni kwamba hakuna walichokosea kisheria au vipi????????????