ePay Kenya - is this service still available??

ePay Kenya - is this service still available??

blakafro

Senior Member
Joined
May 1, 2014
Posts
152
Reaction score
104
Habari Wakuu,
Msaada kwa aliye tumia huduma ya ePay Kenya hivi karibuni nataka nijue if they are still in the market, nashida na moja ya huduma zao ila nimetembelea site yao naona kama they are no longer in the market and nimejaribu kuwatumia mail toka week iliyopita but no any response na kwa site yao hamna contacts za ofisi wala maelezo ya location ya ofisi yao na livechat yao ipo offline 24/7, Au kama kuna alternative ya hawa jamaa it will be appreciated pia kama nikitajiwa.

Nawasilisha.
 
Me nashida na huduma ya money transfer from PayPal to M-Pesa ila naona hao jamaa wote hawana hiyo huduma, any other out there????

Paypal huwa naivuta into my Equity account, very simple. Yaani Paypal to Equity, hawa Equity walianza hiyo huduma kitambo na imekua ya msaada sana kwangu kila nikipokea malipo kupitia Paypal. Uzuri Equity wana matawi huko Tanzania.
Equity Bank

Japo kuna wadau wengi wanajidani kuwa wanafanya hiyo huduma ya Paypal to Mpesa, a simple Google search utawapata.
 
Ubaya ni kuwa ukifungulia account ya Equity kwa huku Tanzania huduma ya send and receive kwa PayPal inakua haipo wanasema mpaka account ukafungulie Kenya, Nimejaribu kuwatafuta hawa wadau wanaodai wanatoa hiyo huduma wengi wao nasikia ni scammers ila kuna hawa wanajiita Chura they look serious ila hiyo huduma hawatoi kwa sasa.
 
Sasa mbona usifungue account ya Kenya, maana kama ni biashara inabidi kuingia gharama ya kusafiri hadi Kenya na ufungue akaunti.
Japo sijui vigezo vya mgeni anayetaka Kenyan account, maana mimi nina akaunti ya Kenya na ya Tanzania. Wakati nafungua ya huko Tanzania ilibidi nitumie work permit kabisa.
 
Back
Top Bottom