Ahsante ndugu, ngoja niwacheki hao.Ni kitambo sana tangu nitumie huduma zao, labda wameishia mitini.
Jaribu hawa, nimetumia mifumo yao na hata integrations za API zao
iPay Limited: Accept Payments Today
Africa's #1 Online Payment Service Solutions - Direct Pay Online
Me nashida na huduma ya money transfer from PayPal to M-Pesa ila naona hao jamaa wote hawana hiyo huduma, any other out there????Ni kitambo sana tangu nitumie huduma zao, labda wameishia mitini.
Jaribu hawa, nimetumia mifumo yao na hata integrations za API zao
iPay Limited: Accept Payments Today
Africa's #1 Online Payment Service Solutions - Direct Pay Online
Me nashida na huduma ya money transfer from PayPal to M-Pesa ila naona hao jamaa wote hawana hiyo huduma, any other out there????
Ubaya ni kuwa ukifungulia account ya Equity kwa huku Tanzania huduma ya send and receive kwa PayPal inakua haipo wanasema mpaka account ukafungulie Kenya, Nimejaribu kuwatafuta hawa wadau wanaodai wanatoa hiyo huduma wengi wao nasikia ni scammers ila kuna hawa wanajiita Chura they look serious ila hiyo huduma hawatoi kwa sasa.Paypal huwa naivuta into my Equity account, very simple. Yaani Paypal to Equity, hawa Equity walianza hiyo huduma kitambo na imekua ya msaada sana kwangu kila nikipokea malipo kupitia Paypal. Uzuri Equity wana matawi huko Tanzania.
Equity Bank
Japo kuna wadau wengi wanajidani kuwa wanafanya hiyo huduma ya Paypal to Mpesa, a simple Google search utawapata.
Ubaya ni kuwa ukifungulia account ya Equity kwa huku Tanzania huduma ya send and receive kwa PayPal inakua haipo wanasema mpaka account ukafungulie Kenya, Nimejaribu kuwatafuta hawa wadau wanaodai wanatoa hiyo huduma wengi wao nasikia ni scammers ila kuna hawa wanajiita Chura they look serious ila hiyo huduma hawatoi kwa sasa.