EPC + FINANCE imeishia wapi? Aibu kubwa mikataba ilisainiwa tar 16 Juni 2023

Doslamari

New Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
4
Reaction score
1,499
Ni aibu na fedheha mikataba imesainiwa mbele ya vyombo vya habari, mpk leo hakuna mkandarasi yuko eneo lolote kati ya hizi 8.

Ni utapeli, ni uwongo, tuliletewa matapeli, Samia tuachie nchi yetu Zanzibari wakandarasi wanajenga kila siku.

Hili jina Tanzania siyo sahihi, nchi hii iamue jina lake sahihi. Very serious bila aibu Rais yuko na wasanii matapeli, ndg, Tuachieni nchi yetu nyie madwebedo.
 
Sir 100 mnamuonea bure,tatizo lipo kwa wanaomshauri ambao 100% ni watu waliotokea nchi ya Danganyika.
Lakini kwa jinsi alivyo ni mtu mzuri sana.
Mtu yeyote anayeruhusu kukosolewa ni mtu wa thamani sana.
 
Uongo mbona barabara ya masasi to ruangwa to nachingwea mkandarasi CCECC kaanza upembuzi yakinifu au zile sticker nilizozina za survey ni watu wa REA
 
Uongo mbona barabara ya masasi to ruangwa to nachingwea mkandarasi CCECC kaanza upembuzi yakinifu au zile sticker nilizozina za survey ni watu wa REA
Imeshajengwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…