Ephrahim kibonde na marine hassan yupi ni bonge la mtangazaji?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
ephrahim kibonde na marine hassan ni watangazaji maarufu nchini, je ni yupi anatangaza vizuri kuliko mwenzake?
 
Mkuu huu nao ni uzi wa siasa?
Anyway kati yao hakuna hata mmoja mwenye maadili, wote waganga njaa tu.
 
Hapo ni kama kufananisha Nyani na Ngedele...wanatofautiana kidogo sana,wote ni vilaza na watumwa wa magamba....
 
Hapa ni kama kufananisha CHURA NA KOBE MAJINI maana hawa wote wanategemea maji ili waweze kuishi, hakuna mwenye uhafadhali hapo NIACHE MIE NILALE KAMA JF MNAANZA KUFANANISHA KIZIWI NA KIPOFU BASI HATUTAFIKA...
 
Kutangaza nn? Kutangaza maenesho ya taarabu, khanga moja au mduara? Hapo nadhan kibonde anafunika!
 
ephrahim kibonde na marine hassan ni watangazaji maarufu nchini, je ni yupi anatangaza vizuri kuliko mwenzake?
Umetaja watangazaji watatu pamoja na red hapo, mtangazaji mzuri kati ya hao watatu nazani Na anatangaza vizuri zaidi.
 
Wewe mwenyewe ulieanzisha thread ulikuwa unamfagilia nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…