Wa aleikum salaaam kwa niaba yake.....lol! Usinirarue Ze Finest nilikuwa najaribisha tu vike Kibonde angeitika huku kajiinamia kichwa chini.Sugu moto chini eheee, Sugu moto chini ahaaaa, Kibonde asalaam aleikum
Sugu moto chini eheee, Sugu moto chini ahaaaa, Kibonde asalaam aleikum
nilikuwa nakesha mbele ya keyboard yangu kuhakikisha kwamba ninyi watu mnatukubali wasanii kwamb a tunaweza na tunaaminika.
Mungu awabariki kwa kuunga mkono juhudi za kila kundi hapa nchini hasa makundi yaliyosahaulika.
tanzania ni yetu na tutaijenga wote