Ephraim Mafuru & Mwamvita Makamba (Vodacom)

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Mimi nashindwa kuelewa vyeo vya hawa watu wawili pale Vodacom

theory zangu ni:

1. mmoja anafanya kazi kuliko mwingine

2. huyo asiyefanya kazi ameamua kufanya ile kazi nyingine ya kupiga madili mle mle voda kuingiza pesa

3.hawapendani/hawaelewani kwa sababu ya namba 4

4. Mmoja anamuingilia mwenzie kazi

5. Huyu mwingine naye nimeambiwa keshaanza kupiga madili lakini anajifanya hapigi dili ndogo

6.Wote wanataka kuondoka VOdacom lakini hawana guts!


Mmmesikia Voda pamoja na kuwa ghali wameongeza market share ya watumiaji wa simu....?
 
Hii post yako ya kwanza sasa wewe ni Ephraim au Mwamvita au umetumwa/kuagizwa kumchafua mmojawapo ?
 
Mbona Mafuru ameshaondoka....??tunae mtaani anafanya deal zake muda tu....sasa hayupo vodacom tena!!nasikia anataka kuwa mjasiriamali apambane kvyake
 
Kama kazi zao zinaingiliana basi wangemweleza HR wao, kwa kifupi CEO wao ni mchovu!
 
mwamvita ni nyumba ndogo ya dietlof mare md wa voda yupo pale kisiasa tu. mafuru mpiganaji keshaanza kitaaambo wewe sijui uko wapi tehe hivyo ndivyo wanavyosema jamaaa waliopo voda
 
napenda kuwa na tubututu ya ujasiriamali,kwa mtu kama Mafuru kuajiriwa ni kujipotezea muda wake,tayari ana network nzuri ni msomi,sasa shida ya nini ya kuamurishwa na watoto wa jana ambao wanajinasibu kwa majina ya baba zao
 
Mwamvita Makamba ni mutoto ya nan? Au ya yusufu makamba....
Mimi pana elewa JF!
 
Hii post yako ya kwanza sasa wewe ni Ephraim au Mwamvita au umetumwa/kuagizwa kumchafua mmojawapo ?

Ss ikiwa post ya kwanza wt difference does it make mkuu?ujumbe c tumepata au?acheni izo superiority complex jmn da!
 
Mafuru alishasepa kitambo na sababu kuu ni huyo mtoto wa ccm, nyumba ndogo ya wazungu wa voda, peter corrier(coo) na mare (md), yupo hapo kisiasa zaidi kuliko kazi
 
mwavita ni nyumba kuu ya ROSTAM AZIZ nasikia anataka kumfanya CEO wa Voda
 


sasa sisi tuwasaidiaje?
 
mwavita ni nyumba kuu ya ROSTAM AZIZ nasikia anataka kumfanya CEO wa Voda

Mh! Hii ndio nimeisikia leo....! Nilikuwa nasikia ya CEO wa Voda tu kumbe hadi nanii... Kazi ipo basi kama kuna ukweli... Ukute baba katoa pande...lol:shocked:
 
All the best Mafuru,ila uyo baba yake akipigwa chini ukatibu nyota itafifia
 
Hongera mafuru kwa kuchapa mwendo,fanya mambo yako , mi naamini ujasiriamali utakutoa sana kuliko hata ulivyokuwa voda
 
salamu haitii mimba mimba mama....ni uungwana tu!!:suspicious:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…