Ephraim fundi umeme
Member
- Jan 23, 2020
- 13
- 6
[emoji23][emoji23][emoji23] hapna nipo moshi mjiniKutoka Ushirombo..
Au kwa Mromboo?
Karibu sana JamiiForums...Mgeni jf ahsanteView attachment 1888888
Sawa karibu Ila huku sio Facebook au Instagram mzee babaMgeni jf ahsanteView attachment 1888888
Sina mbavu mie, Mshana Jr njoo huku mzee wanguKabla ya kuji registration humu uliwah kutumia jf before as gest?
Kama ndio uliwah jiuliza kwanin watu hawapost picha zao au kutumia majina yao?
Anyway karibu mkuu
Nikuambie tu kuna mwamba anaitwa @Mshana Jr [emoji23]