Episode 2: Chama hatari cha Majesuit

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
EPISODE 2:CHAMA HATARI
CHA MAJESUIT. .. Ignatius
akawa ndiye kiongozi
mkuu (Superior General)
wa chama cha Yesu –
Society of Jesus.
Yeye ndiye aliyetunga
katiba ya chama hicho
mwaka 1540. Nukuu
muhimu tunayoweza
kuichukua kutoka kwa
Ignatius wa Loyola ni hii:
“That we may be
altogether of the same
mind and in conformity
with the Church herself,
if she shall have defined
anything to be black
which appears to our eyes
to be white, we
ought in like manner to
pronounce it to be black.
For we must undoubtingly
believe, that
the Spirit of our Lord Jesus
Christ, and the Spirit of the
Orthodox Church His
Spouse, by
which Spirit we are
governed and directed to
Salvation, is the
same.” [Ignatius Loyola,
Spiritual Exercises, Rule 13
Henry Bettenson, ed.,
Documents of the Christian
Church,
2nd ed. (London: Oxford
University Press, 1963), p.
260.]
“Kwamba wote tuwe na
nia moja na kukubaliana
na kanisa, kama limetafsiri
kitu
chochote kuwa ni cheusi
wakati kinaonekana
machoni mwetu kuwa ni
cheupe, tunapaswa
kukitangaza kuwa ni
cheusi. Maana bila shaka
tunapaswa kuamini,
kwamba roho wa
bwana wetu Yesu kristo,
na roho wa kanisa la
Orthodox ndugu yake,
roho ambaye
anatuongoza katika
wokovu, ni yule
yule.” [Ignatius Loyola,
Spiritual Exercises, Rule 13
Henry Bettenson, ed.,
Documents of the Christian
Church, 2nd ed. (London:
Oxford
University Press, 1963), p.
260.]
Kwa mujibu wa Ignatius
Loyola, kanisa Katoliki na
kanisa la Orthodox ni
ndugu
mmoja na wote
wanaongozwa na roho
mmoja. Lakini pia
tunaweza kujiuliza kwa
nini
Loyola atumie rangi
nyeusi hata kama ni
nyeupe? Jibu ni kwamba
alikuwa anaongelea
kiongozi mkuu wa chama
hicho cha Jesuits ambaye
anaitwa ‘black Pope’ yaani
Papa
mweusi. Lakini pia Loyola
aliweka kanuni 13 za
kuongoza chama cha
Jesuits. Katika
sura zitakazofuatia
tutaona jinsi Illuminati
wanavyoabudu namba
ikiwepo namba 13 na
kuna uhusiano mkuwa
sana kati ya Jesuits,
Illuminati na Freemasons,
wote wakiwa ni
watumishi wa mnyama
wa namba 666.
Ni utaratibu gani
unafanyika wakati mtu
anapotaka kuwa
mwanachama wa “Jesuit
Society?” Kama
tutakavyoona, utaratibu
wa kujiunga na chama cha
Jesuits unafanana na
utaratibu wa kujiunga na
freemason. Cha ajabu ni
kwamba baadhi ya
madhehebu na
makanisa yanafuata
utaratibu huo wakati
waumini, na hasa viongozi
kama watawa,
wachugaji, maaskofu nk
wanapopewa nafasi hizo
kwa mara ya kwanza japo
Biblia
inakataza wazi kutumia
utaratibu kama huo.
Wakati mtu anapotaka
kujiunga na chama cha
Jesuits anatakiwa, pamoja
na mambo
mengine, kutoa viapo vya
utii katika chama hicho,
kiongozi wa chama hicho
na kiongozi
wa kanisa. Kabla ya
kusoma viapo vya Jesuits,
hebu tuiulize Biblia
kuhusu viapo.
“Tena mmesikia watu wa
kale walivyoambiwa,
Usiape uongo, ila mtimizie
Bwana
nyapo zako; lakini mimi
nawaambia, Usiape
kabisa; hata kwa mbingu,
kwa maana
ndicho kiti cha enzi cha
Mungu; wala kwa nchi,
kwa maana ndiyo pa
kuweka miguu
yake…wala usiape kwa
kichwa chako, maana
huwezi kufanya unywele
mmoja kuwa
mweupe au
mweusi…..kwa kuwa
yazidiyo hayo yatoka kwa
yule mwovu.” Mathayo
5:33-37. “Lakini zaidi ya
yote, ndugu zangu,
msiape….msije
mkaangukia hukumu.”
Yakobo 5:12.
Biblia inakataza kuapa
kwa aina yoyote ile, hivyo
kama Jesuits wanaapa
wanafanya
hivyo kwa sababu wako
kinyume na Biblia. Hata
hivyo yapo madhehebu
mengi yaliyo na
utaratibu wa kuapisha
viongozi wao ikiwa ni
wachungaji, maaskofu,
mapadri kila
wanapowekwa wakfu
kwa ajili ya kazi za kanisa
husika. Chunguza ndani ya
kanisa lako
huenda likawa moja ya
wahusika wa viapo.
. . . .ITAENDELEA. . . EPISODE
3 Tutaona viapa vya ndani
ya SHIRIKA LA MAJESUIT
 

Sijaelewa chochote
 

Huwezi kutafsiri statement ya Ignatius of Loyola bila kuweka context in which he was speaking. Otherwise, ujumbe unaotaka tuuamini unatupotosha maana umechukua tu excerpts. Yaani, unaunga unga phrases fulani fulani. Hii inaonyesha walakini katika kile unachotaka tukiamini.
 
Hakuna chama au society ya majesuit.
Kuhusu kuapa, tuangalie nani mwingine huapa.
1. Mapadre wote huapa
2. Masista wote huapa
3. Raisi wa TZ huapa
4. Mawaziri
5. Wabunge
6. Majaji
7. Police
8. Wajeda
9. Chipukizi wa ccm na uvccm
10. Wanandoa
Na wengine wengi. Hivyo wote ni illuminant
 
Mbona sielewi kitu hapa umekariri vibaya haujaelewa utakuwa umechukua sehemu kwa mihemko unatuletea hivyo hivyo sijui umekula makande ya wapi wewe
 

Pope Francis sio Jesuit?

By the way,kama hao uliowaorodhesha hapo wanaapa ndio inakuwaje sasa?

Au hao wakiapa ndio kuapa inakuwa sawa?
 

Statement inakuwaje haina context?
 
 
Africans mental slavery .rudiii katika dini za mababu zenu eti utawakuta wanbishana kuhusu hizi imani za ulaya na mshariki yakti duh huku hata asilimi moja ya dii ya babu zako hujui duhhhhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…