onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Ama kwa hakika awamu ya 3 ya Lissu itakuwa kufuru kubwa Sana. Umaarufu wake utaongezeka Mara 10. Kila kizazi kitatamani kumuona akimwaga Sera na kuichana vibaya hii serikali ya CCM. My betting Ni kuwa mwisho wa siku ataondoka na kura nyingi zaidi ya 60%.
Kitendo Cha tume na polisi kwa wakati moja kumkabili kumuita na kumpa adhabu ya siku 7 ndiyo itampandisha. Baada ya kurejea atakuwa na nafasi kubwa kusoma mazingira ya namna ya kuwakabili watu. Ataweza kujua aseme Nini kwa sababu tayari amepata mapumziko ya kutosha kuandaa hotuba zake. Kwahiyo Ni siku 18 za kuiua kabisa CCM kwenye siasa za Tanzania.
Tume na polisi wawe makini kwa kauli Kama zile za kina Mahera na Sirro kuwa watasimamia wajibu wao ipasavyo pamoja na kupiga mikutano ya upinzani kwa mabomu. Busara tu inatakiwa kwani Ni vigumu Sana kufuata ratiba. Nchi Ni yetu sote kwahiyo hiyo nguvu isitunyime amani na utulivu kwani baada ya uchaguzi Kuna Maisha. Tanzania yenye amani inawezekana