Episode ya 44,je starring atauwawa?Endelea kufuatilia

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii tamthilia inaendelea na wapenzi wa tamthilia hii wameamini kuwa huenda ni true story.
Mtengenezaji na mwongozaji wamejitahidi kwa viwango vya hali ya juu sana.
Hii imekuwa nzuri kibiashara maana wameweza kuteka nyoyo ya mashabiki wengi ambao akili zao ni kiwango cha nyani.

Atakayeanza kwa matusi hapa ni mmoja wa hao mashabiki wa tamthilia hii ya kibongo
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1666754155423.jpg
    66.2 KB · Views: 1
Bado dakika chache tukaangalie maigizo ya soka.

Mmejitahidi sana pia kuajiri wapaka rangi matukio katika tamthilia hii.
 
Uzuri waamuzi wakishakula kale ka cake hawana aibu.
Wanafanya wapendavyo ili kuendeleza propaganda ya unbeaten.

Tamthilia inaendelea tuone part 2
 
Hii code nimekuja kuielewa baada ya kusoma comments za wadau! Mwanzo nilikuwa nimetoka kapa!
 

Starring kabebwa na machela ya tom boi [emoji23][emoji23]
 
Mara ya mwisho kuingia makundi Caf champions league ulikuwa na umri gani yani mambo yako na umri wako haviendani kabisa hakuna team kubwa duniani kwa kuchukua domestic league tu haipo nasema haipo
 
Bado dakika chache tukaangalie maigizo ya soka.

Mmejitahidi sana pia kuajiri wapaka rangi matukio katika tamthilia hii.
Wamo kina Manura ndani yake.
 

Attachments

  • IMG-20221029-WA0011.jpg
    69.5 KB · Views: 2
Unbeaten [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujinga mtupu, wakicheza kimataifa ndo unaujua uwezo wao halisi.
 
Ulichokisema kimeshatokea tayari
 
Mnapo piga vita rushwa muwaambie na wachezaji na makocha wenu wasipokee rushwa haiwezekani kiyombo akose goli ndani ya tatu,haiwezekani kocha ampange nyoni namba mbili wakati namba mbili angecheza Kennedy,na kwa nini asiwaanzishe watara na onyango beki ya kati na sita acheze baka?kwa nini asimchezeshe Phill namba 9 maana ameonyesha kuwa ni mfungaji mzuri na akampeleka kiyombo pembeni?rushwa mbaya ndugu zangu inauwa soka letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…