Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Arsenal japo wamechukua FA cup mara nyingi kuliko wote lakini hajawahi kujiita mabingwa wa historia
Kwani ni uongo hawajachukua ×14? Kwani kuna timu iliyoizidi kwa kuchukua kombe la FA.FA cup champions
Mbona rahisi tu
Acha uswahiliAsa hapo mswahili ni nani? Kwani ni uongo hawajachukua ×14? Kwani kuna timu iliyoizidi kwa kuchukua kombe la FA..
Weka ushabiki pembeni. Wivu mwengine utakukondesha bure wewe!!
Endelea hivyo hivyo kukaza kichwaAcha uswahili
Vinaachiwa saa moja kabla ya game kuanzaTupe kikos mkuu
Sasa mpaka usikie wewe, si ugonjwa huo!Sijawahi kusikia Real madrid anajiita historic champions wa uefa
Wala man utd anajiita historic champion WA Epl Acheni uswahili
Arsenal ni FA cup winner period
Ni sawa na kula wali bila ya mbogaIla tuwe wakweli ligi bila mashabiki haina tofauti na mazoezi tu
Una kichwa kigumu mkuu, dongo limeelekezwa kwa wananchi hiloKwani ni uongo hawajachukua ×14? Kwani kuna timu iliyoizidi kwa kuchukua kombe la FA.
Weka ushabiki pembeni.