Watapewa tu hongera ya vyeti na fedha.Sasa hapo nani atachukua golden boot?
Nataka pia kujua sheria ya Golden boot ipoje kwa case kama hiyo... Nafikiri wote wanastahili kuwa navyoWatapewa tu hongera ya vyeti na fedha.
Sheria za kupewa golden boot zinashabjriana na zile za mchezaji kufunga hatrick zinasema hivi kama mchezaji zaidi ya mmoja atafunga hatrick na mpira uliokuwa ukichezewa ni mmoja basi wengine watasubiri kama ilikuwepo mingi inayochezewa basi watapewa hapohapo.
Golden boot ilikuwa ni moja tu
Back to mada siku ya mwisho wa ligi naona leo wameongezeka wafungaji kutoka club 2 na kumfikia MO Salah;
1. Mohamed Salah (LIV) 22 goals, 8 assists
2. Pierre-Emerick Aubameyang (ARS) 22 goals, 5 assists
3. Sadio Mane (LIV) 22 goals, 1 assist
Kimsingi wote wanastahili kupata golden boot maana ni magoli ndo kigezo pekee. Hongereni kwa kazi nzuri vijana wa EPL
FA itabidi wafanye jambo ukizingatia wachezaji wote ni wakigeni lolote laweza kutokea wakapewa kiatu au wakapewa mbadala wa kiatuNataka pia kujua sheria ya Golden boot ipoje kwa case kama hiyo... Nafikiri wote wanastahili kuwa navyo
Pierre mshenzi tu anaikanaga afrika mara aitake haeleweki kisa hakuzaliwa afrika anavimbaNilidhani utasema Hongereni vijana wa Afrika.
Pierre mshenzi tu anaikanaga afrika mara aitake haeleweki kisa hakuzaliwa afrika anavimba
Mfaransa, kuna kipindi hadi alikataa kuchezea timu yake ya taifaKwahiyo anasema yeye ni raia wa wapi?
Mfaransa, kuna kipindi hadi alikataa kuchezea timu yake ya taifa
Usimsingizie, waafrika wote wapo kimaslahi, muulize diof atakwambiaMfaransa, kuna kipindi hadi alikataa kuchezea timu yake ya taifa
Nimemsingizia nini mkuu? Kwamba hajawahi kukataa kuchezea taifa lake la Gabon na kujinadi kuwa yeye ni mfaransa ama?Usimsingizie, waafrika wote wapo kimaslahi, muulize diof atakwambia
Huwa wanajiumiza makusudi wasichezee timu zao za taifa maana maslahi madogo,
Ni wachache wanaojitoa 100%
Hajawahi kujinadi yy mfaransa ,japokuwa yy kakulia ufaransa,Nimemsingizia nini mkuu? Kwamba hajawahi kukataa kuchezea taifa lake la Gabon na kujinadi kuwa yeye ni mfaransa ama?
Leta ushahid akijinad yy ni mfaransa na sio mgabonNimemsingizia nini mkuu? Kwamba hajawahi kukataa kuchezea taifa lake la Gabon na kujinadi kuwa yeye ni mfaransa ama?
Ukileta ushahidi wa Pierre kuikana Afrika nipigwe Ban.Pierre mshenzi tu anaikanaga afrika mara aitake haeleweki kisa hakuzaliwa afrika anavimba