EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL.

Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani.

Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na nahodha wa Arsenal, Martin Odegaard.

Pia Ederson analingana assist na mshambuliaji wa Liverpool, Cody Gakpo.🤣🤣
 
sawa kwani kipa si ni mchezaji pia, ana magoli mangapi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…