Ile ligi pendwa ulimwenguni ndo iyo imekaribia ligi ya Uingereza... naona timu nyingi zikifanya sajili zao na kucheza mechi za kirafiki kujiweka fiti...
Tutarajie ligi yenye mvuto na ngumu msimu ujao timu zimesajili makocha wenye falsafa na mifumo tofauti,Mourhinno,Conte,Pep Guardiola,Mazzari...nk.Ukitaka mpira wa kupaki basi,Pasi nyingi,Pasi ndefu ndefu,mpira wa kibabe vyote vitapatikana uko...wale mashabiki wa Epl tujiandae msimu ndo ndo huo umekaribia.