EPL Itakua Balaa Chini ya Makocha Hawa

EPL Itakua Balaa Chini ya Makocha Hawa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
_89776578_premierleaguemanagers.jpg

huenda ligi hii itakua ya hatari sana msimu ujao

Unadhani nani ataibuka kidedea?
 
Antonio anaweza sumbua sana epl maan hawa wa italy siwaelewi wana mpira wa matokeo sana
 
Mbona Mauricio pochettino na wenger umewaacha?
 
Ya wenger atabaki lakini nionavyo mm specaialone atakuwa wa kwanza kutafuta mlango wa kutokea
 
jurgen klopp atawasumbua sana hao makocha
 
mfumo wa wenger ilitakiwa afundishe Timu ya Taifa maana anakuza kweli vipaji harafu anauza huku yeye akikosa makombe....
 
Back
Top Bottom