Kuanzia 2005-2012 nilikua nawaelewa sana EPL kwenye CL mana kila fainali unawakuta,robo final unakuta wapo wa 4,ile Liverpool ya mauaji,the blues,man u sijui zimeingiwa na pepo ganiNdio maana mie nilishaacha ujinga wa kushabikia vitimu vya Epl, kitu Laliga na Bundesliga ndio mpira ulipo!
Timu za EPL zinazocheza CL hazifanyi vzr na ikitokea zina kutana either na bayern,barca au Madrid probability ya kupenya ni ndogo sana,ukisema we ni bora wapige waliobora