EPL: Manchester City vs Arsenal wachezaji wa Arsenal wasema watashinda na kutangaza ubingwa leo

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kiungo wa Arsenal Thomas partey amesema wapo tayari kushinda mechi ya katikati ya wiki ili kutangaza ubingwa mapema

Amesema "tupo tayari kupambana na kushinda mechi hiyo kujiweka katika mazingira mazuri ya kubeba ubingwa msimu huu na tutashinda"

Kwa miaka kumi mfululizo kwa uzoefu wangu mechi za katikati ya wiki zimekuwa mechi muhimu kuamua bingwa wa Epl

Utofauti ni kwamba arsenal sio timu bora kwa sasa ila ipo kwenye form

Na manchester city ni timu bora ambayo haipo kwenye form nzuri

Leo Arsenal ataongeza pengo la point hadi kumi akimfunga manchester city

Utabiri manchester city 1-5 arsenal
 
Punguza mahaba, mechi haiwezi kuwa rahisi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…