EPL: Manchester United vs Manchester City tound 10

EPL: Manchester United vs Manchester City tound 10

bakundande jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
507
Reaction score
672
It's a Sunday special.
Ni siku nyingine tena katika historia ya soka ikizikutanisha timu toka jiji la Manchester katika michuano pendwa ya logi kuu ya kandanda nchini Uingereza.

Mtanange huu utaanza mishale ya saa 12;30 za jioni kwa saa za hapa Tanzania na utapigwa katika dimba la old Trafford.

Ikumbukwe katika msimu uliopita timu zote zilipata ushindi katika viwanja vya nyumbani.

Kwa wake ambao wako mbali na television au wale ambao tanesco washafqnya yao usio na hofu mtanange utakuwa live katika uzi huu....
FB_IMG_1698589499323.jpg



Match updates.....
 
Hii timu utafikiri walima mihogo hahahah, Kwa mwanzo huu fans wanaishi Kwa tabu kweli yaani.
 
Nilikuwa upande wa MU lakini kwa ujinga huu bora nibaki neutral
 
Wale wa FPL tunamtakia mema captain Haaland [emoji2957]
 
Halaaand
Dakika ya 49 halland anaiandikia timu yake bao la pili
 
Man U wana kocha kweli? timu haina hali ya kucheza kutafuta magoli
 
Back
Top Bottom