Suarez ??
van persie ??
Bale ??
walichukua nini ?
lengo au kusudio la swali lako ni nini?? hapa kuna edin hazard,de gea,h.kane,sanchez.....to me EDIN HAZARD deserves the gong,end of story.
For you not for epl
unazi unakusumbua.
kuwa mkweli wa mambo hazard anamzidi nini sanchez ?
hazard kamzidi nini sanchez ?
magoli sanchez 14
hazard 11
assist sanchez 8
hazard hajafika nane
na katika magoli 11 kuna penati zisizopungua tano za hazard
sanchez hana penati bado unasema unazi weka udafu basi
mkuu PFA hawafanyi kama FIFA kuangalia stats za magoli mengi na assist ili kumchagua mchezaji bora...note n mind kwamba hata kama Sanchez kafunga magoli 14 wanaangalia hayo magoli kafunga mechi zipi? zilikuwa mechi ngumu? je magoli yake yalikuwa essential?? na assist vilevile wanaangalia hivyohivyo.
hivi suarez aliifunga timu ipi kubwa ??
kama unajua hilo basi harry kane ndio bora au Naismith wa everton kafunga timu zote kubwa sasa nyie mashabiki wa chelsea mkijazana ujinga mnafikiri fa wanaangalia mbwembwe uwanjani
hebu tuliza akili Hazard Hamuwezi Sanchez kwa mpira wa kutaka matokeo na mgoli yote yanayofungwa ni muhimu
njoo tena ubishane
Aya sasa mkuu wapi Sanchez na migoli yake yooote!!! i told u wanaangalia magoli muhimu na influence ya mchezaji husika, ukadhani eti wanaangalia big match na magoli mengi..poleee sana sanchez ajipange tena...big up kwa Harry Kane pia.
For you not for epl
Harry Kane wa Tottenham Spurs, Alexis Sanchez wa Arsenal, Phillippe Coutinho wa Liverpool, David De Gea wa Manchester United, Diego Costa wa Chelsea na Eden Hazard wa Chelsea, wamechaguliwa kugombea tuzo ya mchezaji bora wa PFA Player of the Year Award kwa msimu huu.
Wewe unahisi nani anastahili kushinda tuzo hiyo kutokana na viwango walivyovionyesha msimu huu?