Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mkuu spurs kacheza mpira mwisho dk ya 50 the rest juve amecheza vizuri sana. Spurs alicheza mpira mzuri mechi ya kwanza turin, ila jana ukimtoa mkorea son hamna kitu. Wazee wametumia experience + ubabe wa Mechi. Utakua mchawi ukishindwa kumpa pongezi kocha wa juve kwa kufanya sub za maana. Kumbuka hii timu mwaka jana barca hakupata goli hata moja ingawa alishambulia mwanzo mwisho. Toa credit kwa BIANCONERI mtaalam. FINOALLAFINEEti Epl sucks!!!!!
Mimi ni shabiki mkubwa wa Juventus, but Spurs alipiga mpira mwingi sana.
Hapo ndu hua linakuja suala la Bahati kwenye soka. Juve wamepita kwa ngekewa, Spurs alipaswa kushinda comfortably about three goals upwards.